Monday, May 26, 2014

TAZAMA PICHA KUMI ZA KIMAHABA ZA LEMUTUZ AKIWA NA MASTAA WA KIKE KARIBUNI WOTE UNAOWAJUA!!

Hizi ni picha za mtoto wa kiume wa mwansiasa nguli nchini John Maleccela, William aka Lemutuz..Kwafujo jana ameamua kuweka picha za mastaa wanawake wote aliopiganao picha kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM..Hahaha Huyu jamaa anambwembe....Hebu tuzione!!....

AKIWA NA HAMISA

LULU
MASOGANGE

                                                                                MBONI