DIAMOND ANENA HAYA............
Kupata Fursa ya kushare treatment, kunetwork na kubadili ideas na Wasanii ambao ulikuwa ukiwaona tangu mtoto unakua, na tangu unaanza muziki haujui utoke vipi... kiukweli ni jambo ambalo linatia Moyo na nguvu sana ili uzidi kupambana zaidi, kesho na keshokutwa Tasnia yetu nasi ifike kwenye kilele....! das me and my Boy Nelly at the @betawards red carpet... Wenyewe wa uswazi tunamuitaga "Nelly I love you" Mzee wa Plasta������... Cc @bet_intl