LUIS SUAREZ AENDELEZA UVAMPIRE, AMNG'ATA MCHEZAJI WA ITALIA UWANJANI, HII NI MARA YA TATU...SOMA ZAIDI
tabia ya mchezaji wa liverpool kung'ata wachezaji wa timu pinzani imendelea kushika kasi mara baada ya hii leo mcheza ji huyo kumng'ata mchezaji wa timu ya italy Giorgio Chiellini , suarez alimkita meno katika parika za kujipanga kwa ajili ya mpira wa adhabu ndogo, awali suarez alijifanya kuanguka chini kuashiria kupigwa kipepsi na Giorgio jambo ambalo camera za uwanjani zinaonyesha suarez ni kweli alimng'ata mchezaji huyo, hii ni mara ya tatu kwa mchezaji huyo kufanya kitendo hicho , kwani amewahi kumng'ata mchezaji uholanzi ukiachilia mbali alivyomng'ata beki wa timu ya chlsea, iIvanivic