Tuesday, June 24, 2014

PICHA 20 KALI ZA SHOW YA DIAMOND PLATINUMZ ALIYOFANYA NCHINI UBELGIJI WIKI ILIYOPITA...BOFYA HAPA KUZITAZAMA!!

IMG-20140622-WA0025Mara kwa mara tumekua tukitoa taarifa nzuri na njema juu ya muziki wa Tanzania unavyopata nafasi ya kuvuka mipaka ya nchi ambayo kwa sasa kulingana na baadhi tu ya wasanii kadhaa wanaenda nje kufanya show picha zao zimekua zikibeba taswira kubwa ya kitu walichoenda kufanya.
Miaka kadhaa nyuma ziliwahi kutoka stori kuwa wanamuziki wengi wa Tanzania wanapoenda kufanya show nje mara nyingi hawapigi show kwenye club kubwa na taarifa hiyo iliunganishwa na maneno kuwa muziki wa Tanzania bado haujawa na nafasi ya kuwa na mashabiki wengi.
Kwa picha kadhaa ambazo wasanii wanapost kwa sasa wanapokuwa kwenye show zao nje ya nchi utaungana nami kwa kuamini kuwa muziki wa Tanzania umekua kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba umekaa kwenye ramani inayotambulika kimuziki.
Diamond Platnumz ni miongoni mwa wanamuziki kutoka Tanzania ameendelea kutuwakilisha vizuri kwenye majukwaa ya nje ya nchi,cheki jinsi wakazi wa Bergium walipopata nafasi ya kushuhudia show ya Diamond Platnumz.
IMG-20140622-WA0029
IMG-20140622-WA0028
IMG-20140622-WA0027
IMG-20140622-WA0024
IMG-20140622-WA0021
IMG-20140622-WA0020
IMG-20140622-WA0018
IMG-20140622-WA0016
IMG-20140622-WA0015
IMG-20140622-WA0013
IMG-20140622-WA0012
IMG-20140622-WA0056
IMG-20140622-WA0062
IMG-20140622-WA0051
IMG-20140622-WA0050
IMG-20140622-WA0044
IMG-20140622-WA0039
IMG-20140622-WA0034