Tuesday, July 1, 2014

TID NA RAY C NINI KINAENDELEA:TID AMSHUSHIA MATUSI YA KUMDHALILISHA RAY C LIVE.....SOMA HAPA!

 
Kikubwa kinachoendelea usiku huu, ni majibu aliyoyatoa TID kwa msanii mwenzake na mwanaharakati katika kukomesha matumizi ya madawa ya kulevya Ray C.
Ingawa haijajulikana rasmi ni nini kilicho muudhi Mzee Warioba a.k.a TID, katika comment aliyoiandika Ray C katika moja ya picha zake alizozituma Instagram"Come lets talk Tid ur the best musician in east Africa pls lets talk" TID alionekana kukerwa na Comment hiyo na kumpa makavu Ray C kwa kumtusi right under her comment