Wednesday, July 9, 2014

HII NI AIBU MISS CBE ACHEPUKA NA MUME WA MTUAPEWA GAUNI LA MKEWE NA KULIVAA KWENYE MASHINDANO YA UMISS BILA AIBU


Chuo cha CBE DODOMA kimeendelea kutiwa najisi na baadhi ya wanafunzi wake wasio kuwa na maadili mema baada ya mwanafunzi mmoja wa kike mwenye picha yake huu kushoto akiwa na gauni la umiss kudaiwa kuisambaratisha ndoa ya mfanyabishara maarufu wa kisomari Mkoani Dodoma mwenye mkwanja wa maana na picha ya chini ni mke wa mfanyabishara huyo. 

paparazi kama kawaida kazi yake ni kuirekebisha jamii na kuipasha habari bado ina malizia vielelezo vya mwisho kabla ya kuanika ishu nzima hewani .