Saturday, July 12, 2014

HII NI VUNJAMBAVU TENA TOKA KWA MASANJA IHUSUYO MPIRA/BRAZIL!! LAZIMA UCHEKE


Masanja ametoa kichekesho kikinachohusu shida zinazowakabili wanaume wanaoangalia
mpira na wake zao hususani ule wa Brazil na Ujerumani 

KUANGALIA MPIRA NA WANAWAKE MAJANGA TUPU
mke: Mbona hawa Brazil
hawamchezeshi Neymar ??
Mme: aliumia mechi iliyopita,
hawezi kucheza
mke: mbona hawajamkodi
MESSI??
Mme: hairuhusiwi kukodi... izo sio nyumba za kupanga
kwamba unahamia tu,mpaka uwe
una uraia waNchi yako.
Mke: mbona hadi wanawake
wanacheza umo uwanjani?
Mme : wapo wapi hao wanawake?
mke: si hao wa Brazil wenye
nywele ndefu?
Mme: hapana hao ni
Wanaume wanaitwa David
Luizna WILLIUM
mke: Mbona hao wengine
wanapiga Penalty tano wenyewe?
eti Refa anapendelea?
mme: hakuna Penalty hapo ni
magoli,Brazil wamezidiwa
wanafungwa..
mke: mbona Goli 7 ni nyingi
na ni Dk ya80, kwann refa
hamalizii tu hapo si bingwa
alishajulikana.
mme: sheria ya mpira mpaka Dk
90 zitimie..
mke: Huu si mpira wa miguu??
mme: Ndio we unaonaje?
mke: mbona huyo mwingine
anadaka na mikono?
Mme: huyo ni kipa
mke: kwann huyu Kipa wa
Brazil asikimbie na mpira adi goli
jingine alafu afunge apunguze
magoli au hajui huo ujanja?
Mme: kanyonyeshe mtoto

ameamka...