Tuesday, August 25, 2015

DIVA WAJIBIZANA VIBAYA NA DIAMOND KWNYE KIPIND CHA XXL CLOUDS FM..WASIKIE HAPA LIVE WAKIFUNGUKIANA

Diva Na Sauti Yake Ya Kujiamin Ikiambatana Na Nyodo Ajibizan Na Diamond On Air Kisa Mambo Ya Instagram , inasemekana diva Anamongelea vibaya daimond Instagram, Daimond  amemwambia diva kuwa kama ningekuwa nimekukaza usingekuwa unaniongelea......majibizano yaliendelea nusu wapigane BDAZIN akazima maic...