Saturday, July 19, 2014

KUWA WA KWANZA KUTAZAMA NDINGA MPYA YA SUKARI YA WAREMO, DIAMOND PLATINUMZ

Jamaa anajituma sana na kila kukicha hachoki kupiga show iwe bongo au ahapahapa tanzania, hivi juzi msanii diamond ameonekana akipaki mtaani akiwa anaendesha ndinga mpya kabisa ambayo ilionekana kuwa ni ya gharama sana japo haiweza kujulikana ni aina gani ya gari hilo kutokana na kutoonekana hapa bongo, msanii huyo alionekana mitaa ya sinza mori ambako ndiyo makazi yake hivi sasa,