Tuesday, July 8, 2014

SOMA HAPA KUJUA KATI YA DIAMOND NA DAVIDO WADAU WANASEMA NANI MKALI JUKWAANI..SHUKA NAYO!!

Davido na Diamond ni wasanii wakali Afrika na wamewahi kushiriki tuzo nyingi kubwa za Afrika na duniani kama vile BET, AFRIMMA, MAMA AWARDS n.k

Ebu pata kushuhudia uwezo wa hawa wakali wawili wakiwa jukwaa moja katika nyimbo yao ya pamoja "My Number One Remix"

Angalia video hiyo vizuri kisha kiroho safi useme ni nani amemfunika mwenzake kipafomansi.