Sunday, July 6, 2014
TUJIKUMBUSHE MABASI YA ABIRIA YA ZAMANI TOKEA TUPATE UHURU
Wadau haswa lale lalioenda umri kidogo, hebu tukumbushane mabasi yetu ya zamani. Mengi yalikuwa ni Leyland.
Nakumbuka Njuweni, Masama Clif na Masama Safari, Yarabi Salama na Yarabi Toba
UDA
Newer Post
Older Post
Home