UNAAMBIWA DIAMOND KUNUNUA HUMMER YA MCHUNGAJI GWAJIMA KWA MILIONI NYINGI SANA!!
Kuna tetesi kuwa mwanamuziki diamond platnum amenunua hummer aliyokuwa akitumia mchungaji gwajima ambapo inasemekana kauziwa kwa bei ya kutupwa(haijajulikana bei gani). Tunasubiri tu baba ubaya atudanganye kaagiza ulaya milion 400.