Saturday, July 12, 2014
WEMA AFUTURISHA NYUMBANI KWAKE, AITA WAKWE, MAWIFI ZAKE..SOMA ZAIDI
Wema akiwa na mkwe wake pamoja na shosti yake Aunt Ezekiel.
Diamond akiwa katika dua.
Baadhi ya futari.
Baadhi ya wahudhuriaji akiwemo meneja wake Diamond, Babu Tale, wakimalizia futari.
Wema akiwa na mawifi zake
Wema akideka kwa mkwe wake mama Diamond.
MSANII wa filamu bongo Wema Sepetu amefuturisha nyumbani kwake Kijitonyama jana
Newer Post
Older Post
Home