Saturday, July 12, 2014

YOUNG KILLER AMPA KICHAPO CHA MBWA MWIZI MPENZI WAKE..NI YULE ALIYEGEUZA NOTI ZA ELFU KUMI KUWA SHUKA HUKU AKIJISAHAU CHUCHU IKIWA WAZI!

 
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Rapa Young Killer na mpenzi wake aliyetajwa kwa jina la Halimaty umesemwa kuwa na dosari baada ya Young killer kusemekana kumpiga msichana huyo.
 
Inavyosemekana majirani wa Young killer walimwambia Shettah kuwa akae na Young Killer ili amfahamishe mwenzake tabia ya kumpiga msichana sio nzuri,sikiliza maongezi haya yalikuwa baina ya Young Killer,Shettah na Soud Brown.
Hapo nyuma mara kazaa mrembo wa young amekuwa akitupia picha tata mtandaoni kudhihirisha mapenzi yao ni motomoto...