Friday, August 15, 2014

HII NDIZO JUMLA YA TUZO ANAZO MILIKI MSANII DIAMOND PLATNUMZ TOKA AANZE MZIKI

Diamond Plutnumz


Msanii Diamond Plutnumz ambaye anafanya vizuri kwenye muziki wa bongo fleva hapa nyumbani lakin amefanikiwa kuvuka mipaka na kufika level za kimataifa kabisa,kupitia mitandao ya kijamii amepost picha ya tuzo anazo miliki toka aanze kazi ya mziki ziko hapa tizrika nazo 


Tuzo za Diamond