Show ya Rais wa Masharabaro iliyofanyika wekeend hii Maisha club ya Dodoma Imevunja rekodi baada ya wanadada kujitokeza kwa wingi na kuimba nyimbo zake na kucheza naye kwa style ya kukata mauno kama kawaida yake, Tazama picha za kile kilichojiri hapo chini |