BONGO MOVIE SASA HII NI TOO MUCH:: IRENE UWOYA NA SINGLE MTAMBALIKE A.K.A RICH WADENDEKA LIVE, CHEKI HAPA VIDEO
Kama mpenzi wako ana ndoto za kuwa muigizaji wa filamu za hapa Tanzania, huenda ukabadilisha mawazo yako ukiona video hii ya Irene Uwoya na Single Mtambalike aka Rich wakibadilishana mate kwenye scene ya filamu yao mpya.