Lakini vitendo vinavyofanywa na baadhi ya mastaa huko Ughaibuni havikubaliki zaidi na sio mfano wa kuigwa kabisa kwa wapenda maadili.
Mwimbaji mwenye ‘vitimbwi’ vingi, Miley Cyrus amepost kwenye Instagram picha inayomuonesha akiwa anaoga bafuni huku ameficha sehemu zake kwa alama ya kopa.
Mapema mwaka huu, Rihanna na baadhi ya wasanii wengine walikumbwa na rungu la Instagram baada ya kuandikiwa barua ya onyo na kuzuiwa kabisa kupost picha za ajabu.
Huenda Miley akapewa onyo pia