Watu 2 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 20 wamejeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Super Feo kupinduka katika eneo la Sanangula nje kidogo ya mji wa Songea.
Taarifa za awali zinaarifu watu wawili wamepoteza maisha na idadi ya kamili ya majeruhi bado haijajulikana ila ni zaidi ya 20 Endelea kufuatilia blog hii kwa updates zaidi
Hapa ni stend kuu ya mkoa wa Ruvuma na hii ndiyo gali iliyopata ajali na hapa likiwa stendi kabla ya kuanza safari yake(Picha zote na demasho.com)

Mmoja ya majeluhi
Basi lililopata ajali
Waliolala ni baadhi ya waliokuwa kati ya wasafiri ambao inasadikiwa kupoteza maisha katika ajali