CHEKI INSPEKTA MWALA UZALENDO ULIPOMSHIDA, NI SHIDAAA
Inspekta Mwala ni mchekeshaji ambae anaigiza kama askali mwenye kufuata na kutii sheria pamoja maadili na nidhamu ya kazi.....sasa hapa leo uzalendo umemshida baada ya kukutana na mrembo huyu!!!! nakujikuta akifanya kinyume na maadili ya kazi yake....