hatimae msanii Dyna Nyange Afunguka Live!!!jana kupitia kipindi cha Full anyemo Xclusive,kirukacho ndani ya 97.7Nyemo Fm Radio na Kukiri kua Matei Lounge&CarWash ndio kiwanja pekee cha kujidai Ndani ya Dodoma kwa sasa!Hivyo basi Tukutane Wote Ijumaa Hii Tukaizindue Rasmi Matei Lounge&Car Wash,hku tukipata Burudani Safi toka mkubwa na Wanawe~YAMOTO BAND na Mkali Toka Dom ONE SIX,Bila kusahau kwa stage host n baba Boy @WINSTON MAKANGALE & BOSS NGASA TZ......Hivyo Tu |