UMESHAWAHI KUMSIKIA DIAMOND AKICHANA?? SIKIA NYIMBO MPYA HII ALIYOIMBA AKICHANA KAMA MWANA HIP HOP
Kutoka kwenye kiwanda cha bongofleva right now ni dakika nyingine 3 za kusikiliza mdundo mpya ambao Diamond kachana humo ndani yake ikiwa ni project ya Producer Zachaa wa Mj Records.