Monday, September 8, 2014

HUYU NDO MISS REDD'S ILALA 2014..CHEKI MTOTO ALIVYOUMBIKA NI HATARII

  Jihan Dameshi akiwa na mshindi wa pili Nasreen Abdul (kushoto)na Happiness Sostheen.
    …Wakijitayarisha kumtangaza mshindi.
    Majaji wakifuatilia shindano hilo.
      Warembo wakitoa ‘machejo’ kuonyesha umahiri wao katika ‘kudensi’.
   Mshiriki namba nane akiwa katika pozi la nguvu.
   Baadhi ya washiriki watarajiwa wa shindano la Miss Tanzania 2014 wakiwaangalia wenzao wa Ilala wakichuana.

  Jaji mkuu wa shindano la Miss Tanzania, Patel (kushoto) akiwa na familia yake katika shindano hilo.
    Baadhi ya warembo waliohudhuria katika shindano hilo.
    Martini Kadinda akiwa katika zulia jekundu.
   Waimbaji wa kundi la Yamoto Band wakiwa na kiongozi wao, Said Fella ‘Mkubwa na Wanawe’, na mmoja wa waratibu wa shindano hilo aliyejulikana kwa jina moja la Juma.
Muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’  akiwa kwenye zulia jekundu.
Miss Njombe 2014 naye alikuwepo.
    Martin Kadinda na Lulu.
MREMBO JIHAN DIMESH juzi usiku aliibuka Redd’s  Miss Ilala 2014 katika kinyang’anyiro kilichofanyika Hoteli ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam na kushirikisha wanyange kumi.