MSANII SHILOLE APOROMOSHEWA MVUA YA MATUSI MARA BAADA YA KUWEKA PICHA TATA KWENYE MTANDAO WA KIJAMII
yaani kiukweli siku ya leo ndio nimeamini kuwa staa hususan katika nchi kama hii yetu wanakazi sana leo imemtokea mwanadada shilole mara tu baada ya kupost picha yake iliyopo hapo juu kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kuporomoshewa matusi wew kama mdau wa blog ya makubwa unasemaje kuhusiana na picha hiyo...