Tuesday, September 16, 2014

Mwanafunzi Ajipiga Mtupu kumuunga mkono Wema wa Uganda ( Brenda Nambi)


.Baada  ya  staa  huyo  kujifotoa  akiwa  mtupu, Mashabaki  zake  nao wameamua  kumuunga  mkono    kwa  kujipiga  wakiwa  watupu, na  kwa  kuanzia  ni  huyu  mwanafunzi  aliyetambulika  kwa  jina  la  Melanie   toka  Rainbow Internationa...

Picha  hii  iliwekwa  katika  mtandao  mmoja  wa  kijamii  na  kusindikizwa  na  maneno  haya: "Inspired by Brenda Nambi....only difference is that am not showing everything"