Tuesday, September 9, 2014
MZOGA WA NYANGUMI WAIBUKA PWANI YA MTWARA, TAZAMA PICHA HIZI HAPA
Mzoga wa samaki aina ya nyangumi umeibuka katika pwani ya Mtwara baada ya kukutwa ukielea bahari kuu na wavuvi. Mzoga huo ulivutwa hadi pwani kwa mshangao wa wananchi.
<<<BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI>>>
Newer Post
Older Post
Home