PICHA NYINGINE TATA ZA MTOTO WA KAJALA AKIWA KATIKA POZI

Dalili zinzidi kuonyesha kwamba dogo huyu mtoto wa kajala ambaye amemaliza shule hivi karibuni atajikita bongo movie au bongo flava, wengi wamekuwa wakijiuliza maswali hayo kwani inavyoonekana kwa jinsi mtoto huyo paula mapozi ya picha na vinguo anavyovaa vinahashiria jinsi gani ameanza kujiweka kistaa staa zaidi,