PICHAZ: MTOTO WA KAJALA, PAULA SASA AMEKUA BINTI MREMBO....TAZAMA PICHA ZAKE ZA MWAKA HUU NA ZA HIVI MJUZI
Paula ni mtoto wa kike wa Msanii Maarufu wa Bongo Movies KAJALA Masanja ambae alishatengana na mzazi mwenzie, P Funk!!!....Kwasasa amekua na kuonekana mrembo zaidi....zitazame picha zake za hivi sasa na za mwaka juzi..