Wednesday, September 3, 2014

TAZAMA PICHA TATU ZA NGUVU ZIKIMUONYESHA STEVEN KANUMBA JR AMBAYE AMEZALIWA NA DADA WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA. MCHEKI HAPA

Baada ya kupita mwaka mmoja tangu nguli wa
filamu nchi afariki marehemu Steven Kanumba,
nyuma yake bado ataendelea kukumbukwa hasa
katika familia yake kwani dada wa marehemu
Steven Kanumba amejifungua mtoto na kuamua
kumpatia jina la Steven Kanumba Jr ikiwa ni moja
ya kumuenzi kipenzi kaka yao huyo.
Muigizaji nyota wa Bongo movie Elizabeth Michael
maarufu kama lulu alikuwepo pamoja na mama
yake mzazi hospitalini alipojifungua dada wa
marehemu kanumba ikiwa ni moja ya kushow love
na kudumisha upendo.