Sunday, October 12, 2014

DIAMOND ANA KIZIZI AU VIPI? ATAWAA TUZO NYINGINE MBILI KIMYAKIMYA HUKO MAREKAN

Diamond Platnumz ameshinda tuzo nyingine
nchini marekani ziitwazo The International
Reggae and World Music Awards (IRAWMA)
zilizofanyika nchini marekani tarehe 04 mwezi
wa kumi kwa kuondoka na ushindi kwenye
categories mbili za nyimbo bora yenye Mahadhi
ya Kiafrika (mdogomdogo) na M’burudishaji
bora wa Mwaka
Tuzo hizi ambazo  zilianzishwa na Ephraim M.
Martin ambae alikua ni mtangazaji wa TV na
mjasiriamali.Tuzo hizi zilioanza mwaka 1982 ni
heshima kubwa kwa Diamond na kwa muziki wa
Afrika Mashariki kwa ujumla.