Hii nyumba inamilikiwa na Bi mwamvita Makamba ambaye ni mtoto wa YUSUF MAKAMBA,
sasa usiseme kuwa Tanzania ni masikini bali sema mimi ni masikini kama hauna hela maana utasemaje ni nchi masikini wakati wapo watu wenye noti kama hawa wakina Mwamvita???? inasemekana hii nyumba imejengwa huko DUBAI