Sunday, October 12, 2014

DUNIA INA MAMBO:NDEGE ALIEKUWA JUU YA NYAYA ZA UMEME AANGUKA NA KUGEUKA MWANAMKE(BIBI KIZEE) BAADA YA NGUVU ZAKE ZA KICHAWI KUISHA


Mapema hii leo katika kijiji kimoja kinachotambulika kama OSHINDI nchini Nigeria wanachi walishuhudia sinema ambapo kamera zao zilikuwa macho yao na simu zao pale ndege aliyekuwa anapaa angani ghafla alianguka chini baada ya kudandia nyaya za stima na kugeuka mwanamke.

Kitendo hicho kimewacha wanachi vyinywa wazi wasijue la kufanya huku wakibaki kupiga picha wakitumia simu zao za mikononi,Mwanamke huyo alionekana kushambuka na kuwa na vidonda katika mwili wake hali iliyo kuwa inahuzunisha naye alibaki kinywa bubu huku akikosa la kusema,

Wananchi hao walimsisitiza na maswali wakitaka kujua kumekuaje hadi akageuka binadamu wakatika yeye alikuwa ndege anapaa juu mama huyo aliwajibu kuwa alikuwa anaenda kumtazama binti yake aliye kluwa amejifungua mda mchache.

Habari zinasema kuwa mwanamke huyo alikuwa mcha na binti yake alikuwa anafanya sala pale yule mama alikuwa anapaa ndipo akageuka binadamu na mwanamke huyo anadaiwa kuwa mchawi,Inasemekana binti yake alikuwa anajifungua na mtoto anakufariki papo hapo.

Hizi ndio baadhi ya picha za tukio hilo..