![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhwoUfOc_CH_Xm0ee1vPG1WXxVW68EVXP_uTm5koxajDbFulFS7amt1-qPj9yzAa-c8134g4cDHkozlNn_75zW1i6EzLGIpwceoljPMf5ZXODWhPn3wwYU99w8OADm12GpAixIj-3R7fQ/s640/IMG-20141010-WA0007.jpg)
Picha ya askari mwingine inayomuonesha akiwa
kazini huku akiwa yupo viroba vya kutosha yani
kalewa sana kiasi ya kwamba hapo network
imekata kabisa , Picha hii imezambaa kwenye
mitandao na bado haijulikana ni askari wa wapi na
kituo gani ila uchunguzi bado unaendelea ili
kuweka kila kitu wazi na iwe fundisho kwa Askari
wengine wenye tabia kama hizi