Sunday, October 12, 2014

HATIMAYE: BABA MZAZI WA MSANII RICHIE AZIKWA JIJINI DAR! TAZAMA PICHA HAPA

Jeneza lenye mwili wa baba yake Single Mtambalike ‘Richie’ likiombewa dua kabla ya mazishi  jana  katika Makaburi ya Segerea Dar.
Waombolezaji wakielekea katika Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii wa Bongo Muvi, Haji Adam 'Baba Haji' (katikati) akiwa na msanii wa kitambo wa maigizo, Raymond Allen 'Bishanga Bashaija' (kulia) wakiwa Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii Mrisho Mpoto (wa pili kutoka kushoto) na Banana Zorro ( wa tatu kutoka kushoto) wakiwa msibani.
Richie Mtambalike akiwa na rafiki yake wa siku nyingi msanii Raymond Allen 'BishangaBashaija' (kulia).
Mazishi yakiendelea katika Makaburi ya Segerea Dar.
Msanii Richie akitoka kaburini kumzika baba yake.
Baadhi ya wasanii wa Bongo Muvi wakiwa msibani, Rose Ndauka (kushoto), BrendaMarembeka 'Kunguru' (katikati) na Jacqueline Pentezel 'Jack wa Chuzi'(kushoto).
Hatimaye baba wa msanii wa filamu, Single Mtambalike ‘Richie’, amezikwa jana  katika Makaburi ya Segerea Dar. Alifariki jana, Tabata, Dar.