Friday, October 10, 2014

HII NDO JEURI YA PESA YA ALI KIBA...CHEKI MJENGO WA NGUVU ALIO UJENGA


Ukiwa ndani ya Hekalu Jumba la Ngvu la Msanii ally Kiba

Akimalizia kuweka sawa maeneo ya master bedroom.

Hili ni eneo la Nje la Hekalu la Msanii Ally Kiba
Msanii Wa Bongo Fleva hii leo Kupitia Ukurasa wake wa FB ameamua kuweka hizi Picha zenye mwonekano wa Hekalu(mjengo wa Nguvu) anaoumalizia kuufanyia-renovation