Friday, October 31, 2014

KIONGOZI YANGA SC AFANYA 'MAMBO' UWANJA WA KAITABA MCHANA KWEUPEEE

Wakandarasi; Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga SC, Mohammed Bhinda akisawazisha udongo kwenye Uwanja wa Kaitaba leo baada ya kuchimbua na kuurudhishia. Yanga SC itacheza na wenyeji Kagera Sugar kesho kwenye Uwanja huo katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
-BIN ZUBEIRY