Sunday, October 5, 2014

'UMBILE' LA NICK MINAJ UTATA MTUPU...TAKO LAZIDI UPANDE MMOJA!

Mmmh makubwa!
Kuna tetesi kuwa lile shepu la Nick Minaj lile ni la kutengeneza...Wiki chache zilizopita pia kulikuwa na ripoti kuwa mkali wa ngoma ya Anaconda Nick Minaj alijiumiza makalio yake alipokuwa akipafomu kwe VMAs..wengi hawakuamini lakini usiku wa ijumaa alikuwa akitumbuiza kwenye Tamasha la muziki la iHeartRadio Music Festival huko MGM Grand Garden Arena, Las Vegas Shepu hiyo ya Nick ilizua maswali baada ya kuonekana imeinamia upande mmoja kuliko mwingine kitu ambacho si cha kawaida...jionee!