Sunday, October 12, 2014

MISS.INSTAGRAM APATIKANA RASMI HAPA BONGO. TAZAMA MAPICHA YAKE HAPA. NI SHIDA NYINGINE MJINI

Dah huyu MTU MZIMA Le Mutuz, mzee wa
mambebezzz ameibuka na hii tena....Miss Le
Mutuz Instagram..wadada wamemtumia mapichaz
na hatimaye huyu ameibuka mshindi... anaitwa
Aisha hehehe
Soma alichi kiandika MTU MZIMA huyu; Chezeya mshindi wa Miss Le Mutuz Instagram
Nation 2014 jana Airtel TraceStar bash at VIP
lounge wageni wote walikuwa wanataka kuvunja
shingo U know..kwa kweli Super Aisha I am proud
of yah ulitishazzz U know ngoja sasa kwenye
Fiesta hapa tutakulipia kila kitu siku hiyo
upendeze zaidi kama Salon, gauni, wewe sema tu
vitalipiwa U know hapa ni FUSRA KWA WOTE U
KNOW! - le Mutuz MY TAKE;
Kunafursa gani tena hapo zaidi yakumtatua
malinda...lakini bidada yane anataka ATI!!!
Jionee picha za mshindi wa taji hilo......After the
cut!!!