MTI ULIOANGUKA NA KUCHOMWA MOTO MIAKA 3 ILIYOPITA WASIMAMA GHAFLA
NI MAAJABU MKOANI TABORA,WILAYA YA UYUI,KATA YA UFULUMA KIJIJI CHA MFUTO..Ni mti ulioanguka na kuchomwa moto miaka 3 iliyo pita sasa wainuka na kusimama wananchi wakaamua kuukata na kuchukua vipande vya mti huo kwa imani za kishirikina {kizimba}.Na maajabu mengine yakatokea ulipomalizwa mti na kubaki shimo ndani ya shimo pakawa na vitu vya thamani kama pesa nyingi,pingu za mjerumani n.k.Vilivyotumiwa na watu wa zamani.Watu wakachukua na kufanya shimo hilo kubaki jeupe,na hapo ndipo shimo hilo lilipoamua kuanza kulia kama binadamu.