Ikiwa ni siku moja tu Imepita tangu shindano la Big Brother Africa lianze, tayari Video za washiriki wakifanya mambo ya kikubwa na vituko vingine zimeanza kuvuja.
Lilian ambaye ni mshiriki toka Nigeria na Luis ambaye anaiwakilisha Namibia wamenaswa Live na kamera za jumba hilo wakichezeana Makalio.....
Ingia hapo juu kujionea matukio ya moja kwa moja toka ndani ya Jumba la Big Brother Africa. Usingoje Kusimuliwa!!!