WEKA MBALI NA WATOTO...UKISIKIA AFRIKA BAMBATAA NDIO HII...HATARI SANA!
Wajuzi wa mambo huwa wananena kazi na dawa wadau...Wakati wikiendi ikieleka ukingoni, hiki ni kiburudisho chetu cha leo aisee! Unaionaje hii, imekaa poa au niaje?! Tupia maoni yako hapo chini mdau!