Temba amesema msichana huyo aitwaye Batulli alifariki jana.
“RIP Batuli. Amefariki jana mazishi ni leo kisutu. Dada yangu mungu akupunguzie adhabu ya kaburi tutakukumbuka kwa mema yote.
Batuli ulijitolea kwa nguvu na mali katika video yangu ya nampenda yeye na kwa nguvu za mungu tulifanikiwa,” ameandika Temba.