HAMNAZO ? Mastaa wa Bongo Fleva , Isabela
Mpanda ‘ Bella ’ na Baby Madaha wamenaswa
wakifanya vitendo vichafu maeneo ya Tabata
jijini Dar baada ya kupiga masanga ya kutosha
mwilini.
Mastaa wa Bongo Fleva, Isabela Mpanda
‘ Bella ’ na Baby Madaha wakijiachia .
Kwa mujibu wa chanzo , Baby na Bella walifika
maeneo hayo juzikati wakiwa wazima kabisa
lakini baada ya kufakamia pombe kwa kasi
ndipo walipoanza kufanya madudu huku
mchumba wa Bella , Luteni Kalama,
akiwakimbia na kuwaacha wenyewe .
Isabela Mpanda ‘ Bella ’ na Baby Madaha
wakiwa tungi .
“ Walianza kushikanashikana kama
wanasagana, wakapakatana huku wakiwa na
chupa za pombe wakicheza kwa hisia za
kimahaba kama mtu na mtuwe , yani Kalama
anatakiwa ajiongeze vinginevyo mkewe
mtarajiwa ataharibikiwa , ” kilisema chanzo .
Isabela Mpanda ‘ Bella ’ na Baby Madaha
wakishikana kimahaba.
Baada ya paparazi wetu kunasa picha tukio
hilo kutoka kwa sosi , aliwavutia waya wawili
hao kwa nyakati tofauti ambapo walisema
hawaoni tatizo katika mambo hayo
waliyoyafanya. “ Tulikunywa pombe zetu na
hatukuwa na tatizo na mtu yeyote kuna shida
gani ? Hakuna vitendo vibaya tulivyofanya kwa
sababu hatukugombana na tulikuwa tuko na
amani na raha zetu , ” alisema Baby huku Bella
naye akitoa maneno yanayofanana kabisa na
hayo ya Baby .