Monday, November 17, 2014

COVER ZA WIMBO WA "BARNABA BOY" NA "VANESSA MDEE" AKIWA "NUSU UTUPU" ZAZUA GUMZO HUKO INSTAGRAM HEBU SOMA "COMMENTS" UONE...!!

Cover za wimbo mpya wa Barnaba aliofanya na msanii/mtangazaji Vanessa Mdee unaotarajiwa kutoka 18/11/2014 yamezua gumzo mitandaoni baada ya sehemu ya kifua cha Vanessa kuonekana zaidi, Nikawaida kwa pambo alilovaa shingoni kuacha sehemu hio wazi. Hizi ni baadhi ya comment za watu kwenye picha hizi,

 
 
HIZI HAPA COMENT ZA WADAU:-