Staa wa Kenya, Huddah Monroe amewaunga mkono wanawake nchini Kenya waliondamana kudai haki ya kuvaa nguo wanazopenda ‘MydressMychoice’.
Akizungumza na BBC mmoja ya wanawake hao, alisema ameamua kuandamana ili kuitaka serikali ya nchi hiyo kuunda sheria kali ya kuwalinda wanawake.
“Wanawake wanafaa kuacha kunyanyaswa wanapo nyanyaswa, sheria za kuadhibu mtu yoyote ambaye anayenyanyasa mwanamke zitengezezwe na zizidishe zaidi” alisema mwanamke huyo.
“MyDressMyChoice Protest! Kenyan men need to learn to respect women.MyDressMyChoice Protest! Undressing a woman in public is Sexual Harassment,” aliandika Huddah.