Ni utaratibu wetu kuzileta kwako pichaz za nyumba za kisasa kutoka kwenye kona mbalimbali ikiwa na lengo la kukufungua macho na kuona wengine wamejipangaji kwenye sehemu wanazoishi.
Unaweza ukawa hauna uwezo wa kujenga nyumba kama hii lakini ukawa na uwezo wa kurekebisha chochote unapoishi mfano garden, madirisha, sebule, jiko, mpangilio kama wa meza, chumba na vitu vingine vingi.