Tuesday, November 18, 2014

MABIBI NA MABWANA ILE SINGLE MPYA YA VANESSA MDEE NA BARNABA NDIO HII IMETOKA.

Screen Shot 2014-11-18 at 12.13.24 PMKwanza watu walianza kuitamani baada ya mfululizo wa picha kuendelea kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii na imeingia kwenye Top10 ya cover za single mpya Tanzania zilizoongelewa sana.
Barnaba na Vanessa ni marafiki wa muda mrefu lakini hawajawahi kusikika kwenye single moja, ibonyeze brand new hapa chini alafu usiache kutoa maoni yako manake kati ya saa moja jioni na saa tatu usiku leo watapita kusoma maoni ya watu wa nguvu.
Bonyeza hapa uingie hapa kusikiliza na kudownload pia >>>> HAPA