JK AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI MARA BAADA YA KUTUA LEO AKITOKEA MAREKANI KWENYE MATIBABU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Prof. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa J.K. Nyerere jijini Dar es Salaam hivi sasa,mara baada ya kuwasili nchini akitokea nchini Marekani kwenye Matibabu