Tuesday, November 4, 2014

SHOKIIIING...!!! MWANAUME AKATA NYETI ZAKE NA KUZITUPA BAADA KUACHIKA

Oliver-Ilic
Mwanaume mmoja huko Macedonia ametoa ya mwaka baada ya kukata nyeti zake kwa kiwembe na kuzitupa kutokana na kushindwa kutimiza haki ya unyumba kwa mpenzi wake huku chanzo kikubwa kikiwa ni udogo wa nyeti zake. Jamaa huyo aliwaarifu polisi baada ya kutokwa na damu nyingi ila madaktari walifanikiwa kumfanyia upasuaji wa kuunga nyeti zake ambao ulitumia muda wa masaa 5.
Penis-Chopper
Sehemu ambako jamaa huyo alitupa nyeti zake