Sunday, November 2, 2014

SOMA HAPA MAMBO KUMI HUSIYOYAJUA KUHUSU MASOGANGE

1: Umewahi kukaa kwa muda gani bila kuoga ?
Hahahahha duu! hii kali, nakumbuka when I was
15 niliwahi kukaa siku mbili maji hayayajui mwili
wangu, usiniambie wewe hujawahi kufanya hivi.
2: Between Obama and Kikwete is hotter?
Wewe My president is hottest prezzo in the world.
JK is the one.
3: The best part of your body is………….
My figure, namshukuru sana mungu kwa
kuniumba hivi.
4: Kitu gani ambacho unahisi cha kijinga
ulishawahi kufanya kwa sababu ya mapenzi?
Nakukumbuka kuna siku nililia mbele ya umati wa
watu in the club baada ya mpenzi wangu
kunizingua.
5: One night with Bongo celebrity – who’s the
lucky guy?
My man DJ Choka coz Hugo ni mtu ambaye kila
nikikutana nae huwa hanikwazi, muda
ananifurahisha tu.
6: Ni umbea gani umeshawahi kuusikia kuhusu na
ukakuudhi sana?
Kuna gazeti moja la udaku liliwahi kuandika
kwamba ninatumia dawa za kichina kutengeneza
shepu yangu, hilo suala liliniudhi coz halikuwa na
ukweli wowote na watu wanaonifahamu tangu
nikiwa mdogo ni mashahidi.
7: The last man you met last night, who’s he?
Ofcourse ni my baby – ndio mwanaume mwisho
kuiona sura yangu jana usiku.
8: Celebrity wa kike wa Bongo ambaye
anayekufanya utamani kuwa mwanaume?
Hahahahaha hii noma! I think Wema Sepetu is
very beautiful, she can drive crazy any man.
9: What turns you on in a man?
Jamani mie mdhaifu kwa mwanaume anayenukia
vizuri.
10: Kati ya Diamond Platnumz na Gelly wa
Rhymes nani unafikiri anajua sana mapenzi?
Duu nyiee! anyway kwa upande wangu I think
Gelly knows how to handle a woman